2 years ago

Tanzania Youth Ability

Tanzania Youth Ability
2 years ago

Tanzania Youth Ability/muundo

MUUNDO WA T.Y.A

Kikundi kina undwa na wajumbe thelathini tu,kumi kati yao wataunda bodi ya utawala wa T.Y.A na itakuwa na ngazi zifuatazo:-

 1. MWENYEKITI ambaye ni NASRI TAWETE msaidizi ni IRENE KAMBI
 2. KATIBU ambae ni ENOCK MICHAEL na ABRAHAM THEODORY
 3. MHAZINI ambae ni ALOYCE MAVUNDE
 4. MSAJILI ambae ni ANDREA ALEX
 5. MKG HABARI NA MAWASILIANO ambae ni YOMBO M ZAKAYO
 6. MSAMIZI WA MIRADI Ambae ni LUDGERY MARTIN
 7. MKURUGENZI MASOKO ambae ni JACKSON KOMBA
 8. MSEMAJI MKUU ambae ni VALELIA NYANJE
 9. SHERIA NA NIDHAM ambae ni OSCAR MHOKA
 10. MSIMAMIZ SANAA ambae ni KELVIN MONGI

֍ WENGINE WANAOUNDA BODI NI

                  JACKLINE MARTIN

                  PATRICK BRUNO

                  ISSACK MDEM

YA KUZINGATIWA KWA WAJUMBE WA T.Y.A

 1. Heshima ndani ya kikundi sambamba na kuheshimu uongozi uliopo yani bodi ya utawala.
 2. Mahusiano ya kimapenzi hayatoruhusiwa miongoni mwa wajumbe ndani ya kikundi.
 3. Hatutompokea  au kushirikiana na kijana yeyote atakaejihusisha na makosa ya jinai.
 4. Hatutoruhusu ubinafsi ndani ya kikundi.
 5. Kulipa ada ya uwanachama Tsh. 10,000/= kwa mwaka.
 6. Usajiri wa kikundi Tsh. 5,000/= mara moja tu.
 7. Mfuko wa majanga/dharura Tsh. 2,000/= kwa mwezi.
 8. Gharama za uendeshaji wa T.Y.A Tsh 500 /= kwa mwezi.

N.B:  kinyume na mazingatio hayo utafungiwa uwanachama kwa muda usiofahamika.

Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti zetu zifuatazo:-

 •  http;/Friend-Tanzania-Youth-Ability.wallinside.com.
 • Page Fb: FRIEND TOUR ORGANISATION
 • page Fb: ENTERTAIMENT –ARTIST – GROUP  and page Fb: T.STAR VOICE
2 years ago

Tanzania Youth Ability

Tanzania Youth Ability
 
TANZANIA YOUTH ABILITY { T.Y.A}

FOMU YA KUJIUNGA NA T.Y.A

 1.  Ijazwe na Mlengwa anayejiunga na T.Y.A
 1. Jina kamili.........................................................................
 2. Jinsi.........................
 3. Tarehe ya Kuzaliwa..............................
 4. Mahali unapoishi                                                  Mkoa.............................. Wilaya.............................  Kata..................................                                        Mtaa...................................
 5. Namba ya simu..........................................
 6. Tiki Kipengele husika

-Umeoa    [    ] NDIO [    ]HAPANA                                                -Unasoma Shule/Chuo [   ]NDIO [   ]HAPANA

-Mfanyakazi       [   ] NDIO [   ]HAPANA

 -Unajitegemea [   ] NDIO [   ]HAPANA

 1. Saini...........................

B. Ijazwe na Mzazi/Mlezi/Mdhamini

 • Mimi Mzazi/Mlezi/Mdhamini wa ..................................................... nimekubali kujiunga mhusika aliyetajwa hapo juu nikiamini kwamba atakuwa Mwaminifu,mwadilifu na mtihifu katika umoja wa T.Y.A.

Jina la Mzazi/Mlezi/Mdhamini...........................................................

Mahali unapoishi..........................................................................

Namba ya simu.........................................................

               Saini..........................................

 1. Sehemu hii ijazwe na utawala

Tarehe ya Kuchukua Fomu........................Kulejeshwa................................

Msajili………………………………………Saini…………Mw/Kiti........................................Saini............

NB; Ghalama ya Fomu hii ni Tsh.2500/= tu, Fedha ikishalipwa haitorudishwa.http://FACEBOOK.COM/ENTERTAIMENT-ARTIST-GROUP

NB; Ghalama ya Fomu hii ni Tsh.2500/= tu, Fedha ikishalipwa haitorudishwa.

2 years ago

Tanzania Youth Ability

TANZANIA YOUTH ABILITY

(T.Y.A)

MWONGOZO WA KIKUNDI CHA T.Y.A

Kikundi hiki kimeundwa kwa malengo ya kujenga na kudumisha umoja uliopo miongoni mwa vijana sambamba na kutafuta fursa mbalimbali zinazo mhusu kijana ili iwe kama njia ya kumuinua kiuchumi. Pamoja na kutoa misaada kwa jamii ya watu tegemezi kama msingi wa kujenga jamii ya matumaini. Pia kwa namna nyingine kutangaza sanaa na utalii wa TANZANIA ndani na nje ya nchi kwa kuanzisha vikundi mbalimbali vya sana apamoja na dhihara za kirafiki katika vituo mbalimbali vya kitali inchini.

MALENGO YA T.Y.A

 1. Kujenga na mshikamano kwa vijana pamoja na kuandaa vijana wenye moyo wa uzalendo na wautayari kutumikia na kujivunia utaifa wao.
 2. Kusaidiana na kushirikiana katika matatizo na changamoto mbalimbali zinazo mkabili kijana katika mazingira yanayomzunguka pia kujenga familia ya vijana iliyo ya mfano wa kuigwa na vijana wengine.
 3. Kusajili umoja huu ili utambulike na serikali, jamii na ulimwengu kwa ujumla na kuanzisha matawi yake sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi ya TANZANIA.
 4. Kuanzisha  miradi mbalimbali na kutafuta fursa katika jamii inayotuzunguka ili kuweza kujiingizia kipato kama kundi sambamba na kumuinua kijana kiuchumi.
 5. Kutembelea na kutoamisaada kwa jamii ya watu tegemezi na kujenga jamii ya matumaini.
 6. Kuanzisha na kusimamia vikundi mbalimbali vya sanaa ambavyo vitatoa fursa kwa vijana kutumia vipaji vyao kama sehemu ya kujiingizia kipato.
 7. Kutangaza sanaa yetu sambamba na utalii ndani na nje ya TANZANIA.

N.B: kati ya malengo tajwa hapo juu yapo baadhi yameafikiwa sambamba na uanzilishi wa umoja wa T.Y.A kwa baadhi ni kama uanzilishi wa kikundi cha uigizaji cha ENTERTAIMENT-ARTIST-GROUP pamoja na kikundi cha uimbaji cha T.STAR-VOICEhttp://facebook.com/entertaiment-artist-group